sw_tn/mat/20/11.md

20 lines
476 B
Markdown

# Sentensi ungsnishi
Yesu anaendelea kueleza mfano
# Baada ya kupokea
"pindi wafanyakazi waliofanya kazi kwa muda mrefu walipopokea"
# Mmiliki wa shamba
"mmiliki shamba" au "mwenye mizabibu"
# umewalinganisha na sisi
"umewalipa kiasi kilekile cha fedha sawa na ulivyotulipa"
# Sisi tumebeba mzigo kwa siku nzima na kuungua na joto
Kirai "tumebeba mzigo kwa siku nzima" ni nahau inayomaanisha kuwa "sisi ambao tumefanya kazi kwa siku nzima tukiungua na joto la jua"