sw_tn/mat/17/19.md

24 lines
527 B
Markdown

# Sisi
waongeaji na si wasikilizaji
# Kwa nini tusingeweza kuifukuza?
"Kwa nini tusimfanye pepo amtoke kijana?"
# Hakuna kitakachowezekana kwenu kukifanya
"Mtaweza kufanya kitu chochote
# kweli nawaambieni
"nawambia ukweli"
# kama mtakuwa na imani hata ndogo kama punje ya mbegu haradali
Yesu analinganisha ukubwa wa mbegu ya haradari na kiasi cha imani kinachotakiwa ili kufanya miujiza. inahitajika imani ndogo tu ili kufanya miujiza.
# hakutakuwa na kitu chochotte cha kushindikan kwenu
mtaweza kufanya kila kitu