sw_tn/mat/15/36.md

32 lines
316 B
Markdown

# alitwaa
Yesu alibeba mkononi mwake
# akaimega i
akaigawa mikate
# na kuwapa
akawapa mikate na samaki
# wakakusanya
wanafunzi walikusanya au watu walikusanya
# wotewaliokula
watu waliokula
# wanaume elfu nne
wanaume 4,000
# kwenda sehemu
lile eneo
# Magadani
Hili eneo wakati mwingine huitwa Magdala