sw_tn/mat/14/31.md

12 lines
215 B
Markdown

# wewe mwenye imani ndogo
"wewe uliye na imani ndogo kiasi hicho
# kwa nini ulikuwa na mashaka
Haukupaswa kuwa na mashaka
# Mwana wa Mungu
Hii ni sifa ya muhimu ya Yesu inayoonesha mahusiano kati yake na Mungu