sw_tn/mat/12/24.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Katika mastari wa 25, Yesu anaanza kuwajibu mashataka ya Mafarisayo kwamba amemponya mtu kwa nguvu za shatani
# muujiza huu
Hii inamaanisha muujiza wa kumponya yule kipofu, bubu na alaiyepagawa na pepo.
# Huyu mtu hatoi pepo kwa nguvu zake isipokuwa isipokuwa nguvu za Belzebuli,
Hii inaweza kuelezwa katika muundo chanya. "Huyu mtu anaweza kufukuza pepo kwa sababu ni mtumishi wa Belzabul"
# Huyu mtu
Mafarisayo waliepuka kumwita Yesu kwa jina ili kuonesha kuwa hawamkubali.
# mkuu wa pepo
"mfalme wa pepo"
# kila ufalme uliogawanyika wenyewe huharibika, na kila mji au nyumba iliyogawanyika haitasimama
Yesu anatumia mithali kuwajibu Mafarisayo. Sentenzi hizi mbili zinmaanishakitu kilekile. Zinasisitiza kuwa haimanishi chochote kwa Belzabul kutumia nguvu zake kuwapinga pepo wengine.
# Kila ufalme uliogawanyika huharibika
Hpa "ufalme" unamaanisha wale wanaoishi kwenye huo ufalme. Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo tendaji. "Ufalme hautadumu wakati wake wanapigana wao kwa wao"
# kila mji au nyumba iliyogawanyika haitasimama
Hapa"mji" unamaanisha watu wanaoishi humo na. "nyumba" inamaanisha familia. "inaharibu mji au familia watu wanapopigana wao kwa wao