sw_tn/mat/12/22.md

24 lines
619 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Hapa mandhari yanabadilika na kuongelea wakati mwingine wakati Mafarisyao walipomshitaki Yesu kwa kumponyamtu kwa nguvu za shetani.
# Mtu fulani kipofu na bubu, aliyepagawa na pepo aliletwa mbele za Yesu
Hiiinaweza kutafsiriwa katikamfumo tendaji. "Mtu mmoja alimleta kwa Yesu mtu aliyekuwa kipofu na bubu kwa sababu pepo lilikuwa likimtawala"
# Mtu kipofu na bubu
"mtu asiyeweza kuona na hawezi kuongea"
# Makutano wote walishsangaa
"Watu wote waliomwona Yesu akimponya yule mtu walishangaa"
# Mwana wa Daudi
Hi ni sifa ya Masihi au Kristo
# Mwana wa
Hapa hii inamaanisha "kizazi cha"