forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
612 B
Markdown
20 lines
612 B
Markdown
# Maelezo kwa ujumla
|
|
|
|
Yesu anatumia mithali kuwaambia wanafunzi wake juu ya mavuno ili kuona jinsi watavyopokea mahitaji ya makutano yaliyotajwa katika sehemu ambazo tayari zimepita.
|
|
|
|
# Mavuno ni mengi, lakini wafanyakazi ni wachache
|
|
|
|
Yesu anatumia mithali kuonyesha jinsi anavyopokea kile anachokiona. Yesu anamaanisha kuwa kuna watu wengi walio tayari kumwani Mungu lakini kuna watu wachache tu wa kuwafundisha ukweli wa Mungu.
|
|
|
|
# mavuno ni mengi
|
|
|
|
"Kuna mazao mengi yaliyoiva na yako tayari kuvunwa."
|
|
|
|
# wafanya kazi
|
|
|
|
"watendaji"
|
|
|
|
# mwombeni Bwana wa mavuno
|
|
|
|
"Mwombeni Bwana, kwa sababu yeye mkuu wa mavuno"
|