sw_tn/mat/09/03.md

52 lines
1.5 KiB
Markdown

# Tazama
Hii inaonyesha mwanzo wa tukio jingine kubwa la hadithi. Inaweza kutumia watu wengine tofauti na tukio lililopita. Lugha yako inaweza kuwa njia nyingine kufanya hili.
# miongoni mwao
Hii inaweza kumaanisha "wao kwa wao,"kwenye mawazo yao, au "kwa kila mmoja," kutumia midomo yao.
# anakufuru
Yesu alidai kuweza kufanya vitu ambavyo waandishi wa sheria walifikiri Mungu peke yake angevifanya.
# akatambua mawazo yao
Yesu alitambua walichokuwa wakifikiria kwa uwezo wake au kwa sababu aliwaona wakisemezana wao kwa wao.
# Kwa nini mnawaza maovu moyoni mwenu?
Yesu alitumia swali kuwakemea wanasheria.
# wewe...yako
Hizi ni wingi
# uovu
Huu ni uovu wa kimaadili au ukosefu, sio tu ni kosa kwa uhakika.
# kipi ni rahisi......kutembea
Yesu aliuliza swali kukumbusha wanasheria kwamba waliamini mtu amepooza kwa sababu ya dhambi zake na kwamba dhambi zake zimesamehewa, naye angeweza kutembea, ili kwamba alipomponya aliyepooza, wanasheria wajue kwamba yeye anaweza kusamehe dhambi.
# kipi kilicho rahisi kusema,dhambi zako zimesamehewa au kusema, simama na utembee?
"kipi ni rahisi kusema,"Dhambi zako zimesamehewa"? au ni rahisi kusema "Simamama na utembee"?
# Dhambi zako zimesahewa
Hii inaweza kumaanisha 1)"ninakusamehe dhambi" au 2)"Mungu amesamehe dhambi zako."yako" ni umoja.
# mtambue ya kwamba
"Nitawahakikishia ninyi." "ninyi" ni wingi.
# yako.....yako
Hizi ni umoja
# nenda nyumbani kwako
Yesu hamkatazi mtu kwenda sehemu nyingine. Yeye anampa fursa ya kwenda nyumbani.