forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
950 B
Markdown
28 lines
950 B
Markdown
# Sentensi unganishi
|
|
|
|
Hapa mwandishi anaturudisha kwenye wazo kuu la Yesu akiwaponyawatu. Hii inanzisha simulizi la Yesu akiwaponya wanaume wawili waliokuwa na pepo.
|
|
|
|
# upande mwingine
|
|
|
|
"upande mwingine wa bahari ya galilaya"
|
|
|
|
# nchi ya Gadalene
|
|
|
|
Gadalene ulitajwa kwa jina la Gadara.
|
|
|
|
# walikuwa wasumbufu, hakuna mpita njia aliyeweza kupita njia ile
|
|
|
|
Mapepo yaliyowatawala watu hawa wawili yalikuwa hatari kwamba hakuna hata mmoja angeenda kupitia eneo hilo.
|
|
|
|
# Tazama
|
|
|
|
Hii inaonyesha kuanza kwa kutukio jingine kubwa la hadithi. Inaweza kuhusisha watu tofauti na tukio lililopita, Lugha inaweza kuwa na njia ya kuonyesha hili.
|
|
|
|
# Tuna nini cha kufanya nawe,mwana wa Mungu
|
|
|
|
Hili swali la kwanza la kejeli ni hostile
|
|
|
|
# Umekuja hapa kututesa sisi kabla ya wakati kufika?
|
|
|
|
hili swali la pili la kejeli nalo pia ni uhasama na linamaanisha "Haupaswi kutomtii Mungu kwa kutuadhibu sisi kabla ya muda wenyewe ambao Mungu ameupanga ambao atuhukumu sisi"
|