sw_tn/mat/08/08.md

32 lines
883 B
Markdown

# kuingia ndani ya dari langu
Msemo "kuingia ndani ya dari" maana yake "nyumba yangu"
# sema neno
Hapa "neno" maana yake sema amri.AT: "toa amri"
# ataponywa
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT: "atakuja kuwa mzima"
# walio chini ya mamlaka
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT:"ambaye yuko chini ya mamlaka ya mwingine"
# chini ya mamlaka...... chini yangu
Kuwa "chini" mtu inamaanisha kutokuwa na umuhimu sana na kutii agizo la mtu mwenye umuhimu zaidi.
# mwanajeshi
"mtalaamu wa kupigana"
# kweli ninawaambia
"Ninawaambia ukweli." Huu usemi unaongeza na kusisitiza kile ambacho yesu atazungumza baadae.
# sijapata kuona mtu mwenye imani kama huyu Israel
Wasikilizaji wa Yesu wangefikiri kwamba wayahudi katika Israeli, ambao wanadai kuwa ni watoto wa Mungu, watakuwa na imani kuliko yeyote. Yesu anasema hawako sahihi na kwamba imani ya jemedari ilikuwa kubwa.