sw_tn/mat/06/08.md

21 lines
728 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Yesu anaongea na makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha binfsi. anawaambia kama kundi kwa kutumia wingi kama vile "ombeni hivi." viwakilishi vyote vya "lako" baada ya "baba yetu uliye mbinguni" viko katika umoja.
# Baba
Hii ni sifa muhimu ya Mungu
# ulitakase jina lako
Hapa "jina" linamaanisha Mungu mwenyewe.
"linamfanya kila mmoja kujua yeye ni mtakatifu."
# ufalme wako uje
Hapa "ufalme" inamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme. AT: "Waweza kutawala juu ya yote na kila kitu kikamilifu"
# mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni
Hii inaweza kuelezeka kwa mfumo hai. AT: "Kila mmoja duniani atii mapenzi yako kama wanavyofanya kila mmoja huko mbinguni."