sw_tn/mat/01/18.md

28 lines
1.2 KiB
Markdown

# Taarifa kwa ujumla:Mama yake alikuwa amechumbiwa kuolewa na Yusufu
"Mama yake Mariamu alikuwa mbioni kuolewa na Yusufu" kwa kawaida wazazi walifanya mipango ya ndoa za watoto wao." Wazazi wa Mariamu, mama wa Yesu, walikuwa wamemwahidi kuolewa na Yusufu.
# Mama yake Mariamu alikuwa amechumbiwa
Tafsiri kwa namna ambayo huweka wazi kwamba Yesu alikuwa bado hajazaliwa wakati Mariamu alikuwa amechumbiwa na Yusufu. "Mariamu, ambaye angekuwa mama wa Yesu, alikuwa amechumbiwa,"
# Kabla hawajapata kuwa pamoja
"kabla hawajaoana." Hii pengine inamaanisha Mariamu na Yusufu kulala pamoja. kabla hawajalala pamoja."
# alionekana kuwa mjamzito
Hii inaweza kuelezwa kwa namna iliyo tendaji. "wakatambua kwamba alikuwa mbioni kupata mtoto" au 'ilitokea kuwa alikuwa mjamzito.
# kwa Roho Mtakatifu
Uwezo wa Roho Mtakatifu ulikuwa umemwezesha kupata mtoto kabla ya kuwa amelala na mwanamume.
# Mumewe Yusufu
Yusufu alikuwa bado hajamwoa Mariamu, lakini wakati mwanamume na mwanamke waliahidi kuoana, Wayahudi waliwahesabu mume na mke ingawa hawakuishi pamoja. "Yusufu, ambaye aliyepaswa kumwpoa Mariamu" au "Yusufu."
# alisitisha uchumba kati yake na yeye
kuvunja mipango ya kuoana