# baada ya kuchukuliwa kwenda Babeli
Tumia maneno yale yale uliyoyatumia katika Mat.1:9
# Shealitieli baba ya Zerubabeli
Shealitieli kwa kweli alikuwa babu yake na Zerubabeli.