sw_tn/luk/24/28.md

564 B

Walipokaribia

"Walipokuja karibu"

Yesu alifanya kana kwamba anaendelea mbele

Wale watu wawili walieelewa kutokana na kitendo chake kwamba alikuwa anaendelea kuelekea sehemu nyingine. Inawezekana labda aliendelea kutembea barabarani walipochipuka kuingia kwenye geti la kijiji. Hakuna kiashiria kwamba Yesu aliwadanganya kwa maneno.

Wakamsihi

"Walimuomba kwa nguvu sana." Neno la kiyunani linamaanisha kutumia nguvu za mwili juu ya muda wa ziada. Iliwachukua muda fulani na jitihada fulani kumshawishi.

Yesu akaingia

"Yesu akaingia ndani ya nyumba"