sw_tn/luk/23/42.md

465 B

Na akaongeza

"Muhalifu pia akasema "

utakapokuja katika ufalme wako

"Utakapo anza kutawa kama Mfalme"

Ukweli nakuambia

"Ukweli" inaongeza msisitizo wa kile ambacho Yesu anaongea. "Nataka wewe uelewe kuwa"

Paradiso

Hii ni sehemu ambayo watu wema huenda wanapokufa. Yesu alikuwa akimthibitishia mtu yule kuwa atakuwa na Mungu na Mungu atamkubali yeye. "Ni mahali pa furaha" au 'Ni mahali pa watu wenye haki" au "Ni mahali ambapo watu wanaishi vizuri."