sw_tn/luk/23/29.md

893 B

ambao watasema

"watu watakaposema"

waliotasa

"wanawake ambao hawakuzaa watoto"

ndipo

"Kwa wakati huo"

kuambia milima

"wataiambia milima"

Maana kama wakifanya mambo haya ikiwa mti mbichi, itakuwaje kwa mti uliokauka?

Yesu anatumia swali kusaidia umati kuelewa kwamba watu wanafanya mambo mabaya sasa katika nyakati nzuri, hivyo kwa hakika watafanya mambo mabaya zaidi katika nyakati mbaya siku zijazo. "Unaweza kuona kwamba wanafanya mambo hayo mabaya wakati mti ni mbichi, hivyo unaweza kuwa na uhakika kwamba watafanya mambo kuwa mabaya wakati mti ni kavu."

mti mbichi (kijani)

mti mbichi(kijani) ni mfano wa kitu kilichokizuri kwa sasa . Kama lugha yako ina mfano mzuri unaweza kutumia hapa.

uliokauka

"Mti uliokauka ni mfano wa kitu kibaya baadaye"

wakifanya

hapa alikuwa akimaanisha aidha Warumi au viongozi wa kiyahudi au hakuna aliyelengwa moja kwa moja "