sw_tn/luk/23/11.md

473 B

na kumvika mavazi mazuri

Tafsiri hii haimaanishi walifanya hivyo ii kumuheshimu au kumjali Yesu. Walifanya hivyo kumdhalilisha na kumdhihak Yesui"

Herode na Pilato wakawa marafiki kuanzia siku hiyo

Maelezo yaha yana maanisha walianza urafiki kwasababu Herode alifurahia kitendo cha Pilato kumruhusu kumuhukumu Yesu. "Herode na Pilato wakawa marafiki kuanzia siku hiyo kwasababu Pilato alituma Yesu apelekwe kwa Herode ili akahukumiwe"

kabla

"kabla ya siku ile"