sw_tn/luk/22/66.md

801 B

Wakampeleka kwenye Baraza

Inaweza kumaanisha 1) "Wazee walimleta Yesu kwenye baraza" au 2) "Walinzi walimpeleka Yesu mbele ya baraza la wazee."

wakisema

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. Tafsiri mbadala: "Wazee wakamwambia Yesu"

tuambie

"tuambie kwamba wewe ni Kristo"

Kama nikiwaambia...Kama nikiwauliza

Yesu alisema kwamba haikuwa na maana kama angesema au angewauliza kusema, wasingejibu kwa ufasaha. Hizo sentensi mbili kwa pamoja zinaelezea mtazamo wa Yesu kwamba baraza lilikuwa kwa kweli halitafuti ukweli.

Kama nikiwaambia hamtaniamini

Hii ni moja ya maelezo ya kinadharia aliyoyatoa Yesu. Ilikuwa ni njia ya Yesu kujibu bila kuwapa sababu ya kusema kwamba alikuwa anahatia ya kukufuru.

kama nikiwauliza hamtanijibu

Haya yalikuwa maelezo ya pili ya kinadharia