sw_tn/luk/22/63.md

630 B

Baada ya kumfunika macho

"Baada ya kuwa wamemfunika macho yake ili kwamba asiweze kuona"

Tabiri! Ni nani aliyekupiga?

Wale walinzi hawakuamini kwamba Yesu ni nabii. Badala yake waliamini kwamba nabii wa ukweli angemjua aliyempiga hata kama alikuwa hawezi kuona. Walimuita Yesu nabii, lakini walitaka kuonyesha kwamba hakuwa nabii. Tafsiri mbadala: "Jionyeshe kwamba wewe ni nabii. Tuambie nani amekupiga? au "Haloo nabii, nani amekupiga?"

Tabiri

"Kuongea neno kutoka kwa Mungu!" Taarifa kutokana na ukweli huu ni kwamba Mungu angelimwambia Yesu nani alimpiga kwa sababu Yesu alikuwa amefunikwa macho na hakuweza kuona.