sw_tn/luk/22/49.md

347 B

wale waliokuwa karibu na Yesu

Hii inaonyesha wanafunzi wa Yesu.

hayo yanayotokea

Tafsiri mbadala: "kwamba makuhani na maaskari walikuwa na watu wa kumkamata Yesu"

akampiga mtumishi wa kuhani mkuu

"akampiga mtumishi wa kuhani mkuu kwa panga"

akagusa sikio lake

Tafsiri mbadala: "akamgusa mahali ambapo sikio lake lilikuwa limekatwa"