sw_tn/luk/22/39.md

193 B

Baada ya chakula cha usiku

Hii inamaanisha kukamilika kwa chakula cha Pasaka.

kwamba msiingie majaribuni

"kwamba hamjaribiwi" au "hakuna kitu cha kuwajaribu na kuwafanya kutenda dhambi"