sw_tn/luk/22/19.md

1.3 KiB

mkate

Huu mkate ni ule ambao haukuwa na hamila ndani yake, hivyo ilikuwa na chapati.

akaumega

"akaukata" au "akauchana." Aliugawanya kwenye vipande vingi vingi au aliugawanya kwenye vipande viwili na akawapa mitume kugawana miongoni mwao.

Huu ni mwili wangu

Inaweza kutafsiriwa kama 1) "Huu mkate ni mwili wangu" au 2) "Huu mkate unawakilisha mwili wangu."

mwili wangu ambao umetolewa kwa ajili yenu

"mwili wangu ambao nitautoa kwa ajili yenu" au "mwili wangu ambao nitautoa sadaka kwa ajili yenu" Tafsiri mbadala: "mwili wangu, ambao nautoa kwa wenye mamlaka kuuuwa kwa ajili yenu."

Fanyeni hivi

"kula huu mkate"

kwa kunikumbuka mimi

"ili kunikumbuka mimi"

kikombe hiki

Neno "kikombe" linamaanisha au linarejea divai ndani ya kikombe. Tafsiri mbadala: "Divai kwenye kikombe hiki" au "Divai hii."

ni agano jipya katika damu yangu

"ni agano jipya, ambalo litatoa matunda kwa damu yangu" au "ni agano jipya ambalo litahalarishwa kwa damu yangu" au "linawakirisha agano jipya, ambalo Mungu ataliimarisha wakati damu yangu itakapomwagwa"

ambayo imemwagika kwa ajili yenu

"damu yangu, ambayo imemwagwa katika kifo kwa ajili yenu" au "damu yangu, ambayo itatoka katika vidonda vyangu kwa ajili yenu nitakapokufa." Yesu aliongea kuhusu kifo chake kwa kurejea mwili wake kuvunjwa na damu yake kumwagwa.