sw_tn/luk/22/03.md

359 B

Maelezo ya ujumla:

Huu ndio mwanzo wa matukio katika sehemu hii ya simuli.

Yesu akaingia ndani ya Yuda Iskariote

Hii inawezekana ilikuwa sawa na kupagawa na pepo.

wakuu wa makuhani

"viongozi wa makuhani"

wakuu

'viongozi wa walinzi wa hekalu'"

namna ambavyo atamkabidhi Yesu kwao

Tafsiri mbadala: "namna ambavyo angewasaidia kumkamata Yesu"