sw_tn/luk/21/36.md

574 B

imara vya kutosha kuyaepuka haya yote

Inaweza kutafsiriwa kama 1) "imara vya kutosha kuyavumilia haya mambo" au 2) "kuweza kuyaepuka haya mambo."

haya yote yatakayotokea

"mambo haya yatakayotokea." Yesu alikuwa amewaambia si muda mrefu juu ya mambo mabaya ambayo yangetokea kama vile kuteswa, vita, na kuchukuliwa mateka.

kusimama mbele za Mwana wa Adamu

"Kusimama kwa ujasiri mbele ya Mwana wa Adamu." Hii inaweza kumaanisha wakati ambapo Mwana wa Adamu anamhukumu kila mmoja. Mtu ambaye hayuko tayari atamuogopa Mwana wa Adamu na hataweza kusimama kwa ujasiri.