sw_tn/luk/21/25.md

16 lines
822 B
Markdown

# kutakuwa na dhiki ya mataifa
Tafsiri mbadala: "watu wa mataifa mbalimbali watadhikika" au "watu wa mataifa mbalimbali watakuwa na fadhaa nyingi"
# katika hofu kutokana na mlio wa bahari na mawimbi
"kwa sababu watachanganywa na mlio wa bahari na mawimbi" au "sauti kubwa ya bahari na machafuko yake yatawatisha watu." Hii inaoneka kumaanisha dhoruba isiyokuwa ya kawaida au machafuko yanayotokea baharini.
# mambo yatakayotokea juu ya dunia
"mambo ambayo yatatokea duniani" au "mambo yatakayotokea kwa dunia"
# nguvu za mbingu zitatikiswa
Inaweza kutafsiriwa kama 1) vitu vya huko angani kama jua, mwezi, na nyota hazitaenda kwa utaratibu wake wa kawaida au 2) roho zenye nguvu sana huko mbinguni zitafadhaishwa. Tafsiri ya kwanza inapendekezwa. Tafsiri mbadala: "Mungu atatikisa vitu vyenye nguvu huko mbinguni.