sw_tn/luk/21/16.md

1.0 KiB

mtatolewa pia na wazazi wenu, ndugu zenu, jamaa zenu na rafiki zenu.

Tafsiri mbadala: "wazazi wenu, ndugu zenu, jamaa zenu na rafiki zenu watawapeleka kwa wenye mamlaka"

watawaua baadhi yenu

"watawaua baadhi yenu." Pia inaweza kutafsiriwa kama 1) "wenye mamlaka watawaua baadhi yenu" au 2) "wale ambao watawaleta watawaua baadhi yenu." tafsiri ya kwanza ni kama iko sahihi zaidi.

kwa sababu ya jina langu

Tafsiri mbadala: "kwa sababu yangu" au "kwa sababu mnanifuata mimi"

lakini hakuna hata unywele mmoja wa vichwa vyenu utakaopotea.

Hii inaonyesha sehemu ndogo sana ya kiungo cha mwanadamu kusisitiza kwamba mtu katika ukamilifu wake hatapotea. Yesu aliishasema kwamba baadhi yao wanaweza kuuwawa. Kwahiyo baadhi walielewa kwamba hawatadhurika kiroho. Tafsiri mbadala: "Lakini mambo haya hayawezi kweli kuwadhuru ninyi" au "Hata kila unywele juu ya vichwa vyenu utakuwa salama.

katika kuvumilia kwenu

"kwa kusimama thabiti." Tafsiri mbadala: "Kama hamtaacha."

mtaziponya nafsi zenu

"mtapokea uzima" au "mtaishi milele"