sw_tn/luk/20/37.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Maelezo yanayounganisha.
Yesu alimaliza kuwajibu Masadukayo.
# Lakini wafu wanafufuliwa, hata Musa alionyeshwa.
Neno "hata" lipo hapo kwa sababu Masadukayo hawakushangazwa na baadhi ya maandiko kuwa wafu wanafufuliwa, ila hawakutegemea kama Musa angeandika kitu kama hicho. "Lakini hata Musa alionyeshwa kuwa wafu wanafufuliwa"
# Mahali panapohusu kichaka
"kwenye sehemu ya maandiko ameandika kuhusu kichaka kinachowaka moto" au "kwenye maandiko kuhusu kichaka kinachowaka moto"
# Alipomuita Bwana
Ambapo Musa alimuita Bwana
# Mungu wa Ibrahimu na Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo
"Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo" walimuabudu Mungu huyuhuyu.
# Sasa
Neno hili limetumika kuonesha ukomo wa mafundisho makuu. hapa Yesu anaelezzea namna ambavyo simulizi hii inathibitisha kuwa watu wanafufuliwa.
# Sio Mungu wa waliokufa bali wa waliohai
Sentensi hizi zina maana moja lakini ni mbili kwa ajili ya kusisitiza. Lugha nyingine zina namna tofauti ya kuonyesha msisitizo. " Bwana ni Mungu wa walio hai katika uzima wa milele"
# Kwa sababu wote wanaishi kwake
"kwa sababu kwenye macho ya Mungu wote wapo hai." "kwa sababu Mungu anajua ruho zao zipo hai"