sw_tn/luk/20/21.md

1000 B

Maelezo yanayounganisha.

Hapa ni mwanzo wa tukio linalofuata kwenye sehemu ya simulizi hii. Muda sasa umepita tangu Yesu alipoulizwa maswali hekaluni na Makuhani wakuu. Wapelelezi sasa wanamuuliza Yesu.

Hawakushawishiwa na mtu yeyote.

Inamaanisha 1)wewe sema ukweli hata kama watu wa muhimu hwatapenda" au 2)"usimpendelee mtu mmoja juu ya mwingine."

Lakini fundisha ukweli kuhusu njia ya Mungu

Hii ni sehemu waliyosema wapelelezi kwamba wanafahamu kuhusu Yesu.

Je ni halali kwetu kulipa kodi kwa Kaisari.

Walitegemea kuwa Yesu atasema "ndio" au "hapana." Angesema "ndio" Wayahudi wangemkasirikia kwa kusema walipe kodi kwa serikali ya kigeni. Angesema "hapana" viongozi wa dini wangewaambia warumi kuwa Yesu aliawafundisha watu kuvunja sheria za warumi.

Ni halali

Walimuuliza Yesu kuhusu sheria za Mungu na sio sheria za Kaisari. "shheria zetu zinaruhusu."

Kaisari

kwa sababu kaisari alikuwa kiongozi wa serikali ya Roma hivyo wanaielezea serikali ya Roma kwa jina la Kaisari.