sw_tn/luk/20/15.md

600 B

Maelezo yanayounganisha

Yesu alimaliza kuwaambia mfano wake kwa makutano.

Walimtupa nje ya shamba

"Wakulima wa mzabibu walimtoa kwa nguvu mwana wa mwenye shamba nje ya shamba

Je bwana shamba atawafanya nini?

Yesu alitumia maswali ili wasikilizaji wake wawe makinijuu ya atakayoyafanya mwenye shamba. "sasa sikilizeni je Bwana shamba atawafanya nini."

Yasitokee haya

"Mungu ayaepushe yasitokee haya" au "Isitokee kamwe" Watu wanaelewa mfano huu kuwa unamaanisha kuwa Mungu atawaondoa Yerusalemu kwa kuwa wamemkataa Mesia. Wanaelezea kwa nguvu shauku yao kuwa jambo hili baya lisitokee.