sw_tn/luk/18/24.md

12 lines
455 B
Markdown

# Kisha Yesu akamwona alivyohuzunika sana
Kifungu hiki hakipo kwenye maneno mengi ya Kigiriki na mara kadhaa huondolewa kwenye tafsiri za kiingereza.
# Ngamia kupita katika tundu la sindano
Haiwezekani ngamia kuenea katika tundu la sindano. Kwa hiyo Yesu alitumia mafumbo kuonyesha ni jinsi gani ilivyo ngumu kabisa kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
# Tundu la sindano
Tundu la sindano ni shimo katika sindano ya kushonea ambapo uzi hupita.