sw_tn/luk/18/18.md

618 B

Maelezo yanayounganisha:

Hii ni tukio linalofuata kwenye sehemu ya simulizi inayoanza. Yesu akaanza kuongea na kiongozi kuhusu kuingia katika ufalme wa Mungu.

Nifanye nini

"Ni kitu gani natakiwa kufanya" au "Ni kipi kinahitajika kwangu"

Kurithi

"kuwa mmiliki halali wa." Hii ina maanisha mali ya mtu aliyekufa. Luka anatumia neno hili kuonyesha kuwa mtawala anafahamu kuwa uzima wa milele hauwezi kuuchuma, na sio kila mtu ataishi milele.

Hakuna mtu aliye mwema, ila Mungu peke yake

"Hakuna mtu aliye mwema kabisa. Mungu pekee ndo mwema"

Usiue

"Usifanye mauaji"

Mambo haya yote

"Amri zote hizi"