sw_tn/luk/18/06.md

862 B

Taarifa ya jumla:

Yesu anamaliza kuwaambia mfano wake na anatoa maelezo kwa wanafunzi wake.

Sikiliza alivyosema huyu hakimu mmbaya

"Fikiri jinsi alivyosema huyu hakimu mmbaya.: Tafsiri kwa namna ambayo watu wataelewa kwamba Yesu tayari aliwaambia alichokisema jaji.

Sasa

Hili neno linaonyesha kuwa Yesu alimaliza kutoa mfano na akaanza kutoa maana yake.

Mungu pia hataleta... usiku?

Yesu alitumia swali kuwafundisha wanafunzi wale.

Wateule wake

"Watu aliowachagua"

Hatakuwa mvumilivu kwao?

Yesu alitumia swali kuwafundisha wanafunzi wake.

Mwana wa Adamu

Yesu alikuwa anajizungumzia mwenyewe.

Atakuta imani duniani?

Dhumuni la mfano huu ni kuwatia moyo wanafunzi wake waendelee kuamini na kuomba. Yesu hapa anatumia swali lingine anayotegemea jibu hasi. "Lakini najua mimi, Mwana wa Adamu, nikirejea, nitawakuta watu wasioniamini."