sw_tn/luk/17/37.md

572 B

Habari kwa ujumla:

wanafunzi walilomwuliza swali kuhusu mafundisho yake na akawajibu

Ni wapi Bwana?

"Bwana, wapi hii itatokea?"

Ambapo kuna mzoga, ndipo tai hukusanyika pamoja

Inavyoonekana huu ni msemo ukimaanisha "Itakuwa dhahiri" au "Mtaijua ni pale yanapotokea." "Kama tai mkutano inaonyesha kwamba kuna maiti, hivyo mambo hayo kuonyesha kwamba Mwana wa Adamu atakuja"

Tai

Tai ni ndege wakubwa ambao wanaruka pamoja na kula nyama za wanyama waliokufa wakiwapata. Unaweza kuelezea ndege kwa njia hii au kutumia neno kwa ndege wa kawaida wanaofanya hivi.