sw_tn/luk/17/28.md

489 B

Ndivyo ilivyokua katika siku za Lutu

"siku za Lutu" inahusu wakati tu kabla ya Mungu haja adhibu miji wa Sodoma na Gomora. "Mfano mwingine ni jinsi ilivyotokea wakati wa Lutu" au "Kama watu walikuwa wakifanya wakati Lutu akiishi"

nao wakala

"watu wa Sodoma walikula"

kulinyesha moto na kiberiti kutoka mbinguni

"moto na kiberiti ukaanguka kutoka mbinguni kama mvua"

kuwaangamiza wote

hii haina ni pamoja Lutu na familia yake. "kuharibiwa wale wote ambao walikaa katika mji"