sw_tn/luk/17/25.md

1.2 KiB

Lakini kwanza lazimu ateswe

"Lakini kwanza Mwana wa Adamu lazima ateswe." Yesu anazungumza juu yake mwenyewe katika nafsi ya tatu.

na kukataliwa na kizazi hiki

"na kizazi hiki lazima kitamkataa"

Kama ilivyotokea katika siku za Nuhu

"siku za Nuhu" inahusu wakati wa maisha ya Nuhu kabla ya Mungu kuwaadhibu watu wa dunia. "Kama watu walivyokua wakifanya katika siku za Nuhu" au "Kama watu walivyokua wakifanya wakati Nuhu alivyokua akiishi"

hata hivyo itakuwa pia kutokea katika siku za Mwana wa Adamu

"siku za Mwana wa Adamu" inahusu kipindi kabla Mwana wa Adamu atakuja. "Watu watakuwa wakifanya mambo sawa katika siku za Mwana wa Adamu" au "watu watakuwa wakifanya mambo sawa wakati Mwana wa Adamu akikaribia kuja"

Walikula, walikunywa, kuoa, na walipewa katika ndoa

Watu walikuwa wanafanya mambo ya kawaida. Hawakujua au kujali ya kwamba Mungu alikuwa karibu kuwahukumu.

walipewa katika ndoa

hii inaweza semwa kama "Wazazi walikuwa wakiruhusu binti zao kuolewa na wanaume"

Safina

"meli" au "majahazi"

kukataliwa na kizazi hiki

Hii inaweza semwa kama "watu wa kizazi hiki lazima watamkataa"

kuwaangamiza wote

Hii sio pamoja na Nuhu na familia yake waliokuwepo katika safina. "kuharibiwa wale wote ambao hawakuwa katika meli"