sw_tn/luk/17/22.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown

# Kuunganisha kauli:
Yesu anaanza kuwafundisha wanafunzi wake.
# wakati utafika ambapo
"wakati utafika ambapo" au "Labda siku moja"
# mtatamani kuona
"wewe utataka sana kuona" au "utakuwa wataka uzoefu"
# mojawapo ya siku za Mwana wa Adamu
Hii ina maana ya Utawala wa Mungu. "moja ya siku wakati Mwana wa Adamu atatawala akiwa mfalme"
# wala msiwafuate
"na wala kwenda pamoja nao ili kuona"
# maana kama vile radi uonekanavyo
"kwa maana kama vile radi ni wazi kwa kila mtu wakati unaonekana na" au "maana kama vile umeme unaonekana ghafla"
# ndivyo naye Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku yake
hii inahusu ufalme ujao wa Mungu. "itakuwa kana kwamba siku ile Mwana wa Adamu atafika kutawala"
# Mwana wa Adamu
Yesu anazungumza juu yake mwenyewe.
# lakini huwezi kuiona
"hutaweza kuihisi"
# Angalia, pale! Angalia, hapa!
Hii ina maana ya kumtafuta Masihi. "Angalia, Masihi yuko pale! yuko huku!"
# maana kama vile radi huangaza
Mwana wa Adamu ajae itakuwa wazi na ghafla, kama muonekano wa radi. "kwa maana kama vile radi ni wazi kwa kila mtu wakati unaonekana na" au "maana kama vile umeme unaonekana ghafla"