sw_tn/luk/17/17.md

1.2 KiB

Kuunganisha kauli:

Huu ni mwisho wa sehemu ya hadithi kuhusu Yesu alivyo ponya wenye ukoma.

Yesu akajibu, akisema

Yesu alijibu kulingana na kile mtu alichokifanya, lakini alikuwa akizungumza na kundi la watu karibu naye. "Basi Yesu akawaambia ule umati"

Je hawakutakasika wote kumi?

Hii ni moja ya maswali matatu. Yesu aliyatumia kwa kuonyesha watu walio karibu naye jinsi alivyo shangazwa na kukatishwa tamaa kwamba moja tu ya watu kumi alirudi kumtukuza Mungu. "Watu kumi waliponywa" au "Mungu akamponya watu kumi"

Wale tisa wako wapi?

"Kwa nini wengine tisa hawakurudi?" Hii inaweza kuwa kauli kwenye. "Watu wengine tisa wanapaswa kurudi, pia"

Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumtukuza Mungu, isipokuwa huyu mgeni?

Hii inaweza kuwa kauli kwenye. "Hakuna mtu isipokuwa huyu mgeni akarudi kumtukuza Mungu" au "Mungu akaponya watu kumi, lakini tu huyu mgeni akarudi kumtukuza Mungu"

huyu mgeni

Wasamaria walikuwa hawana mababu Wayahudi na hawakuwa wakimwabudu Mungu kwa njia ile ile ambayo Wayahudi walivyofanya.

imani yako imekuponya

"Kwa sababu ya imani yeko umekuwa vizuri." "Imani" yaweza tajwa kama tendo "Kwa sababu unaamini, umeponywa"