sw_tn/luk/16/29.md

939 B

Kuunganisha kauli:

Yesu alimaliza kusimulia hadithi kuhusu tajiri na Lazaro.

Wanao Musa na manabii

Ina onyesha kuwa Abraham alikataa kumtuma Lazaro kwa ndugu wa tajiri. Hii inaweza kuwa alisema. "Hapana, sitaweza kufanya ivyo, kwa sababu ya ndugu zenu na yale ambayo Musa na manabii waliandika mda mrefu uliopita"

waache wawasikilize

"ndugu zako lazima wawe makini na Musa na Manabii"

kama mtu aliamua kwenda kwao kutoka katika wafu

"kama mtu ambaye amefariki aliamua kwenda kwao" au "kama mtu ambaye amefariki aliamua kwenda na kuwaonya"

Kama hawata wasikiliza Musa na Manabii

"Kama hawatakuwa makini kwa kilicho andikwa na Musa na manabii"

wala hawataweza kushawishiwa kama mtu angefufuka kutoka wafu

"Wala mtu ambaye atakuja kutoka kwa wafua atakua na uwezo wa kuwashawishi" au "hawatamini hata kama mtu angefufuka kutoka wafu"

Musa na manabii

Hii ina maana ya maandiko yao. "nini Musa na manabii aliandika"