sw_tn/luk/15/28.md

857 B

kamwe usivunje sheria yako

"kamwe usiasi sheria yako yoyote" au "daima tii kila kitu ulichoniambia nifanya"

na sikukuu

"kusherehekea"

mwanao

"yule mwana wako" mwana mkubwa alikua anamaanisha ndugu yake kwa njia hii ili kuonyesha jinsi gani anahasira.

aliyekula mali yako pamoja na makahaba

"kupoteza utajiri wako wote juu ya makahaba" au "kutupa mbali fedha yako yote kwa kuwalipa makahaba." Maana inawezekana ni 1) alifikiria hivi ndivyo ndugu yake alitumia fedha au 2) anatumia mafumbo kwa makusudi kukuza dhambi za ndugu yake.

hii miaka mingi

"kwa miaka mingi"

Mimi nimetumika kwa ajili yenu

"Nimefanya kazi kwanguvu kwaajili yako" au "nimefanya kazi kwa bidii kama mtumwa kwa ajili yako"

mwana mbuzi

mwana mbuzi ilikuwa mdogo na sio ghali kuliko ndama aliye nona. "hata mwana mbuzi"

mwana kondoo alie nona

Tazama 15:22