sw_tn/luk/15/20.md

970 B

Hivyo mwana mdogo akaondoka na akaja kwa baba yake

"Hivyo aliondoka nchini na kuanza kurudi kwa baba yake." neno "hivyo" linaweka alama tukio hilo kuwa lilichotokea kwa sababu ya kitu kingine kwamba kilichotokea kwanza. Katika kesi hiyo, kijana alikuwa katika haja na aliamua kwenda nyumbani.

aliwaonea huruma

"alikuwa na huruma juu yake" au "alimpenda saana kutoka moyoni mwake"

kumkumbatia na kumbusu

baba alifanya hivyo ili kumuonyesha mwanawe kuwa yeye alimpenda na alikuwa na furaha kwamba mwana alikuwa anakuja nyumbani. Kama watu wanadhani kwamba ni vigumu au ni vibaya kwa mtu kumkumbatia na kumbusu mtoto wake, unaweza kubadilisha na kuweka njia ambayo wanaume katika utamaduni wako huonyesha upendo kwa watoto wao.

mbele yako

Hii ina maana "katika uwepo wako" au "dhidi yeko"

Alipokuwa bado mbali

"Alipokuwa bado mbali sana na nyumbani kwake" au "Alipokuwa bado mbali sana na nyumbani kwa baba yake"

Sistahili kuitwa mwanao

Tazama 15:17