sw_tn/luk/15/17.md

987 B

alipopata ufahamu

msemo huu una maana "akili yake kurejea." "kueleweka vizuri hali yake"

Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula cha kutosha

Hii ni sehemu ya mshangao, na si swali. "watumwa wa baba yangu wote wanachakula cha kutosha kula"

kufa kutokana na njaa

Hii pengine si kukisia. Kijana anaweza kweli kuwa amekuwa na njaa.

Nimefanya dhambi dhidi ya mbingun

Wayahudi wakati mwingine walikua wanaepuka kusema neno "Mungu" na walitumia neno "mbinguni" badala yake. "Mimi nimemkosea Mungu,"

Sistahili hata kuitwa mwanao

"Mimi sistahili hata kuitwa mwanao." Hii inaweza kusemwa "Mimi sistahili wewe uniite mwanao"

sistahili tena

"tena sistahili" Ina maana kwamba katika siku za nyuma alikuwa anastahili, lakini sasa hastahili.

nifanye kama mmoja wa watumishi wako

"niajiri kama mfanyakazi wako" au "niajiri nami nitakua mmoja wa wafanya kazi wako" Hili ni ombi, si amri. Na inaweza kuwa na manufaa kwa kuongeza "tafadhali" kama UDB ilivyo fanya.