sw_tn/luk/15/06.md

1.1 KiB

Wakati anakuja nyumbani

"Wakati mmiliki wa kondoo anakuja nyumbani" au "Wakati umefika nyumbani". Rejea mmiliki wa kondoo kama alivyofanya katika mstari uliopita.

hata hivyo

"katika njia sawa" au "kama mchungaji na marafiki na majirani wangefurahia"

kutakuwa na furaha mbinguni

"kila mtu mbinguni atafurahi"

wenye haki tisini na tisa wasio hitaji kutubu

wenye haki tisini na tisa wasio hitaji kutubu. Yesu hakuwa akisema kwamba kweli kuna watu wenye haki. Anamaanisha watu ambao wanadhani ni wenye haki, ila sio. "Watu 99 ambao wanadhani kwamba wao ni wenye haki na hawana haja ya kutubu."

watu tisini na tisa wenye haki

watu tisini na tisa wenye haki "watu 99 wema"

zaidi ya watu wenye haki tisini na tisa wasio hitaji kutubu.

watu wenye haki tisini na tisa wasio hitaji kutubu Hii haina maana kwamba Mungu hana radhi kwa wale wanaomtii anachukua furaha kubwa ndani yao. Lakini furaha mbinguni kwa wakati mtu anaokolewa kutoka dhambini ni hata furaha zaidi!

hawana haja ya kutubu

Hii haina maana kwamba waumini hawana haja ya kutubu wote wanahitaji kufanya.