sw_tn/luk/14/28.md

575 B

Maana ni nani katika ninyi, ambaye anatamani kujenga mnara, hatakaa chini kwanza akadirie gharama kwa mahesabu kama ana kile anachohitaji ili kukamilisha hilo?

Yesu anatumia swali kupata watu kufikiri juu ya nini wangeweza kufanya katika hali fulani. AT "Kama mtu alitaka kujenga mnara, bila ya shaka kwanza kukaa chini na kuamua kama alikuwa na fedha za kutosha kukamilisha hilo."

Mnara

Hii inaweza kuwa mnara katika shamba lake. AT "jengo refu" au "sehemu ya juu ya jukwaa."

baada ya kuweka msingi

"Wakati yeye imejenga msingi." AT "wakati yeye anaanza kujenga"