sw_tn/luk/14/25.md

20 lines
990 B
Markdown

# Habari za ujumla
Yesu anaanza kufundisha umati wa watu ambao walikuwa safarini pamoja naye.
# Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake mwenyewe ... hawezi kuwa mwanafunzi wangu
Hapa, "chuki' ni exaggeration kuonyesha jinsi muhimu ni kumpenda Yesu zaidi kuliko mtu mwingine. AT "Kama mtu akija kwangu na hanipenda mimi zaidi kuliko yeye anavyompenda baba yake ... hawezi kuwa mwanafunzi wangu" au "Tu kama mtu ananipenda mimi zaidi kuliko yeye anayempenda baba yake mwenyewe ... hawezi kuwa mwanafunzi wangu"
# ndiyo, na nafsi yake mwenyewe
"Na hata nafsi yake mwenyewe"
# Mtu asipochukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu
AT "Kama mtu anataka kuwa mwanafunzi wangu, ni lazima kubeba msalaba wake na kunifuata"
# kubeba msalaba wake mwenyewe
Warumi mara nyingi walimfanya mtu kubeba msalaba wake kabla walipomsulubisha. Yesu hamaanishi kila Mkristo ni lazima asulubiwe. Yeye anamaana wao lazima kuwa tayari kuteseka kwa njia yoyote kuwa wanafunzi wake.