sw_tn/luk/14/04.md

617 B

Lakini wao wakanyamaza

viongozi wa dini walikataa kujibu swali la Yesu.

Ni nani kati yenu ambaye ana mwana au ng'ombe ... haitakua mara moja kumvuta yeye nje?

Yesu anatumia swali kwa sababu yeye aliwataka kukubali kwamba wao wangemsaidia mtoto wao au ng'ombe, hata siku ya Sabato. Kwa hiyo, ilikuwa haki kwa yaye kuponya watu hata siku ya Sabato. AT "Kama mmoja wenu ana mwana au ng'ombe ... wewe bila ya shaka utamvuta yeye nje mara moja."

Wao hawakuwa na uwezo wa kutoa jibu

Walijua jibu na kwamba Yesu alikuwa sahihi, lakini hawakutaka kusema chochote kuhusu hilo. AT "Walikuwa hawana kitu cha kusema."