sw_tn/luk/13/25.md

20 lines
352 B
Markdown

# mmiliki wa nyumba
Hii ina maana ya Mungu. AT "Mungu."
# utakuwa umesimama nje
Yesu alikuwa akizungumza na mkuta. mfumo wa "ninyi" ni wingi. Yeye aliwashughulikia wao kama vile hawataingia kwa kupitia mlango katika ufalme
# Pound mlango
"Kugonga kwenye mlango"
# Ondokeni kwangu
"Nenda mbali na mimi"
# watenda maovu
"watu wanaofanya uovu "