sw_tn/luk/13/22.md

600 B

Habari za jumla:

Hii ni sehemu ya nyingine ya hadithi. Yesu anajibu swali kwa kuwaeleza mfano kuhusu kuingia ufalme wa Mungu

Yesu alitembelea kila mji na kijiji ... na kuwafundisha

Hii ni taarifa zilizopita kwamba kutuambia nini Yesu alikuwa akifanya wakati tukio hili lilipotokea.

ni watu wachache tu watakao okolewa

Mungu ataokoa watu wachache tu

pPmbana kuingia kwa kupitia mlango mwembamba

"Fanya Kazi kwa bidii ili kupita njia ya mlango mwembamba." Yesu anazungumza kuhusu ufalme wa Mungu kana kwamba ni nyumba. Yesu anazungumza na kundi, "wewe" alisema katika amri hii ni wingi