sw_tn/luk/13/15.md

944 B

Bwana akamjibu

"Bwana alijibu kwa mtawala wa sinagogi"

sio kila mmoja wenu kufungua punda wako ... Sabato?

Yesu anatumia swali kuwafanya wao kufikiri juu ya kitu tayari walijua. AT 'Wewe kufungua punda wako ... Sabato."

Punda au Ng'ombe

Hawa ni wanyama ambao watu kuwatunza kwa kuwapa maji.

Mtoto wa Ibrahimu

AT "uzao wa Ibrahimu"

ambaye Shetani alimfunga

AT "ambaye Shetani alimfanya kilema" au "ambaye Shetani alimfunga kwa ugonjwa huu"

miaka kumi na nane miaka mingi

18 kwa miaka mingi. "neno "mrefu" hapa inasisitiza kuwa miaka kumi na minane ilikuwa muda mrefu sana kwa mwanamke kuteseka. Lugha nyingine wanaweza kuwa na njia nyingine ya kusisitiza hili.

lazima vifungo vyake asifunguliwe ... siku?

Yesu anazungumza kuhusu ugonjwa wa wanawake kana kwamba ni kana kwamba amefungwa. AT "ni haki ya kumfungua yeye kutoka kwa Shetani ... siku" au "ni haki ya kutolewa yeye kutoka vifungo vya ugonjwa huu ... siku."