sw_tn/luk/13/10.md

566 B

Habari za jumla

Hii ni sehemu ya pili ya hadithi. aya hizi hutoa taarifa ziliyopita kuhusu mazingira ya sehemu hii ya hadithi na kuhusu mwanamke mlemavu aliyetambulishwa kwenye hadithi

Sasa

neno hili ni alama ya sehemu mpya ya hadithi.

wakati wa Sabato

"Siku ya Sabato." Baadhi ya lugha husema "Sabato" kwa sababu hatujui ambavyo hasa siku ya Sabato ilikuwa.

Tazama, mwanamke alikuwa huko

Neno "tazama" hapa alerts sisi mtu mpya katika hadithi.

Miaka kumi na nane

18 miaka

roho mbaya ya udhaifu

"Roho mbaya kwamba ilimfanya yeye awe dhaifu"