sw_tn/luk/12/27.md

804 B

maua

(Lilies), haya ni mauwa mazuri yanayojiotea yenyewe shambani. Kama lugha yako haina jina la mauwa ya aina ya (lily) unaweza kutumia jina lingie la maua yanayofanana na hilo au tafsiri kama "maua"

wala hayajisokoti

"haitengenezi uzi ili yajivike" au "hawatengenezi uzi"

Sulemani katika utukufu wake

"Sulemani aliyekuwa na mali nyingi" au "Sulemani aliyevikwa vizuri"

Kama Mungu huyavika vizuri majani ya kondeni

"Kama Mungu huyavika majani ya kondeni namna hiyo " au "Kama Mungu huwapa mauwa ya kondeni mavazi mazuri hivyo" Kama Mungu hufanya majani ya kondoni kuwa mazuri kama hivi"

hutupwa kwenye moto

"mtu huzitupa kwenye moto"

Je si zaidi atawavika ninyi

"Hii ni mshangao na siyo swali. Yesu alitilia mkazo kuwa atawatunza na kuwajali watu zaidi kuliko anavyojali majani.